Habari za Mastaa

Yemi Alade akutana na Davido kwenye rekodi hii ya YouTube

on

Mwimbaji Yemi Alade anashika nafasi ya pili nchini Nigeria baada ya wimbo wake wa ‘Johnny’ kufikisha watazamaji Milioni 100 kwenye mtandao wa You Tube ikiwa wimbo huo uliachiwa rasmi March 3,2014.

Davido aliweka historia nchini humo baada ya kuwa Msanii wa kwanza kufikisha watazamaji Milioni 100 mwezi December 2018 huku video ya ‘Pana’ ya Tekno ikikaribia kufikia hatu hiyo pamoja na wimbo wa Personally wa P Square.

Kupitia ukurasa wa Instagram wa Yemi Alade ameandika >>> “Ndio watazamaji Milioni 100 na tunakaribia kufikisha subscribers Milioni moja, ninashukuru, nitatia nguvu zaidi kwenye kazi Mungu akiruhusu, Naahidi”

WATU MBALIMBALI WALIVYOJITOKEZA KUMZIKA MAMA ABDUL CHANG’OMBE DSM

Soma na hizi

Tupia Comments