Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla ameandika kwenye ukurasa wake wa Twitter kuhusu Askofu Kakobe ambaye amenukuliwa hivi karibuni akisema kuwa ana hela kuliko serikali.
Kigwangalla ameandika kuwa kumuhangaikia Kakobe ni kupoteza muda kwani inawezekana akawa na ugonjwa wa akili ambao ameutaja kwa jina kama ‘Bipolar Disorder: Currently Mania’ na kusema dalili zake ni mtu kujisifia….
..>>>>“Kuhangaika na mtu kama KAKOBE ni kupoteza muda bure. Kuna watu wanasema inawezekana akawa na ugonjwa wa akili ‘Bipolar Disorder: Currently Mania’ ambao katika dalili zake ni ‘delusions of grandeur’ [kujisifia]. Akipelekwa mahakamani anaweza kutetewa kwa kigezo hiki na akashinda!” – Kigwngalla
BREAKING: TRA kuanza kumchunguza Askofu Kakobe “nina hela kuliko Serikali”