Jumba la kifahari ambalo lilijengwa Karne ya 17 linalojulikana kama Bolfracks Estate, lenye zaidi ya ekari 4,000 lililopo karibu na Aberfeldy, Perthshire, Scotland ambalo limekuwa linamilikiwa na familia moja kwa Karne moja sasa limeingizwa sokoni na wamiliki wa kizazi cha tatu Athel na Annie Price.
Unaambiwa Jumba hilo lilijengwa na Earl wa Breadalbane kwa style ya Gothic na linauzwa kwa paundi 10.9m ambazo ni zaidi ya Tsh. 30.5b, likiwa na vyumba tisa vya kulala lilijengwa Karne ya 17 na kuongezwa ukubwa katika Karne ya 19, na lina nyumba 10 zaidi katika eneo moja.
UTAJIRI WA BAKHRESA: Hoteli ya kisasa anayojenga baharini Zanzibar!!!