Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Sakata la Kizz Daniel, Wanigeria washangazwa na uzuri wa kituo cha Polisi ‘Oystebay’, Muliro anena haya
Share
Notification Show More
Latest News
FIFA imethibitisha ratiba ya michezo mingine yote ya Kombe la Dunia la U-20 inayoendelea.
May 30, 2023
Mahakama ya Libya imewahukumu kifo watu 35 kwa kupigania kundi la Islamic State
May 30, 2023
Pangani yatimiza ilani ya vijiji vyote kuwa na umeme.
May 30, 2023
bandari ya dar es salaam yaweka rekodi mpya katika kuhudumia shehena
May 30, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo May 30, 2023
May 30, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Entertainment > Sakata la Kizz Daniel, Wanigeria washangazwa na uzuri wa kituo cha Polisi ‘Oystebay’, Muliro anena haya
Entertainment

Sakata la Kizz Daniel, Wanigeria washangazwa na uzuri wa kituo cha Polisi ‘Oystebay’, Muliro anena haya

August 10, 2022
Share
1 Min Read
SHARE

Baada ya kuibuka sakata la Msanii wa Nigeria, Kizz Daniel kutotokea katika Tamasha lilioandaliwa na kampuni ya Str8upvibes Jumapili iliyopita tarehe 8 kisha msanii huyo akakamatwa na Jeshi la Polisi kisha kuhojiwa kueleza sababu zilizopelekea kutohudhuria Tamasha hilo.

Jana ikaibuka stori ya Kizz Daniel na Uongozi wa Str8upvibes kuitisha waandishi wa habari kueleza yale yaliyotokea na msanii huyo kuomba radhi na kuwaahidi kufanya show Ijumaa hii.

Sasa Mengine yanaibuka mpaka sasa ni huko Nigeria ambapo Wanigeria washangazwa na uzuri wa kituo cha Polisi cha Oysterbay unaqwza ukabonyeza play kufahamu mengi ikiwemo alichokisema Kamanda Muliro Jumanne Muliro.

You Might Also Like

Picha: Kutoka kwenye Usiku wa Zari The Boss Lady Elements Masaki DSM

VideoMPYA: Conboi katuletea hii ‘Till i die’ akiwa na Khaligraph Jones

Lil Durk aachia albamu mpya ya ‘Almost Healed’ yenye mastaa kibao ndani yake

Rapa Kodak Black aachia Albamu yake mpya ‘Pistolz & Pearlz’

LeBron James anasema huenda akastaafu mpira wa kikapu

Edwin TZA August 10, 2022
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Romy Jons aandika barua hii amtaka Diamond asisaidie tena wasanii, Diamond amjibu haya
Next Article Sasa zimebaki asilimia 33 kukamilisha bwawa la Nyerere la kufua Umeme
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

FIFA imethibitisha ratiba ya michezo mingine yote ya Kombe la Dunia la U-20 inayoendelea.
Top Stories May 30, 2023
Mahakama ya Libya imewahukumu kifo watu 35 kwa kupigania kundi la Islamic State
Top Stories May 30, 2023
Pangani yatimiza ilani ya vijiji vyote kuwa na umeme.
Top Stories May 30, 2023
bandari ya dar es salaam yaweka rekodi mpya katika kuhudumia shehena
Top Stories May 30, 2023

You Might also Like

Top Stories

FIFA imethibitisha ratiba ya michezo mingine yote ya Kombe la Dunia la U-20 inayoendelea.

May 30, 2023
Top Stories

Mahakama ya Libya imewahukumu kifo watu 35 kwa kupigania kundi la Islamic State

May 30, 2023
Top Stories

Pangani yatimiza ilani ya vijiji vyote kuwa na umeme.

May 30, 2023
Top Stories

Katibu Mkuu CCM amuagiza haya RC wa Iringa, kuhakikisha kituo hiki cha Afya kimefunguliwa na kuanza kutoa huduma

May 30, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?