Lil Wayne anasema amekusudia kustaafu muziki baada ya kuachia album yake ya mwisho ya The Carter V lakini kama kuna mtu atajitokeza na atake Wayne afanye album nyingine baada ya hii, ni lazima amlipe dola za Kimarekani kati ya milioni 25 mpaka 30.
Get More:
Music News