Michezo

Matokeo Azam FC vs Ruvu shooting leo April 10 2014

on

Screen Shot 2014-04-10 at 8.49.48 PMZimebaki pointi tatu tu Azam FC kuwa mabingwa wa Ligi Kuu Bara kwa mara ya kwanza, hilo halina ubishi.

Azam FC wameshinda mabao 3-0 dhidi ya Ruvu Shooting katika mechi ya Ligi Kuu Bara iliyochezwa leo kwenye Uwanja wa Mabatini mjini Mlandizi.

 

Kwa mujibu wa salehjembe.blogspot.com iwapo Azam FC itaifunga Mbeya City katika mechi yake itakayofuata, Azam ambayo sasa ina pointi 56 itatawazwa rasmi kubwa mabingwa.

 

Katika mechi ya leo magoli ya Azam FC yalifungwa na mshambuliaji mkongwe, Gaudence Mwaikimba, Himid Mao na Kipre Tchetche

Tupia Comments