Michezo

Kuhusu Ronaldo kukosa fainali ya Copa del Rey

on

Screen Shot 2014-04-11 at 12.04.21 AM Stori ambayo imethibitishwa na club ya Real Madrid ni kwamba staa wao Cristiano Ronaldo hatocheza kwenye mechi ya fainali ya Copa del Rey Jumatano wiki ijayo kutokana na kujeruhiwa.

Kwa mujibu wa gazeti la AS Hispania, kujeruhiwa huku kunaweza kumfanya akawa nje ya uwanja kwa zaidi ya wiki mbili japo club yake haijasema atakua nje kwa siku ngapi.

Kwenye ligi ya La Liga msimu huu peke yake Ronaldo amefunga magoli 28 kwenye mechi 27.

Screen Shot 2014-04-11 at 12.06.41 AM

Tupia Comments