Muonekano mpya wa eneo la Mwenge DSM ambapo ilikuwa kituo cha daladala na baadae kutumiwa na Wafanyabiashara maarufu kama Machinga kufanyia biashara zao, kwa sasa Wafanyabiashara wameondolewa katika eneo hilo kupisha utanuzi wa barabara.
LIVE: CHADEMA wanazungumza na Waandishi wa habari