Bibi Scolastica kutoka Wilayani Hai anasema Mjukuu wake Elifuraha Joseph alitapika mawe kwa zaidi ya siku nne bila kujua chanzo huku yeye akidai kurushiwa mawe katika nyumba yake bila kujua yanapotoka.