Vituko/ Comedy

Uliona alichofanya huyu jamaa baada ya mvua kuzidi Dar? (video)

on

Screen Shot 2014-04-17 at 9.42.01 PMMvua za Dar es salaam zimezalisha picha nyingi sana za matukio ya vituko na huzuni huku madimbwi kwenye sehemu ambazo hazikutarajiwa pamoja na vituko vingine mbalimbali ikiwa ni kawaida kabisa.

Kituko kingine ni hiki cha jamaa aliebanwa na mvua kwenye kibaraza town ikabidi atumie akili ya ziada kupata njia ya kuingia kwenye gari.

Tupia Comments