Mpaka game inaisha Chelsea ilikua imepigwa mbili zilizofungwa na Wickham kwenye dakika ya 18 huku Borini akifunga kwa penati kwenye dakika ya 82 wakati goli moja na pekee ya Chelsea likifungwa na Eto’o kwenye dakika ya 12.
Full Time ya Chelsea vs Sunderland April 19, wafungaji na video ya magoli yenyewe

Leave a comment
Leave a comment