Moja kati ya couples za wasanii wa muziki wa Hip Hop kutokea Marekani Diddy na Cassie ambazo zilikuwa zikipendwa na watu wengi imeripotiwa kuwa wawili hao kwa sasa wameachana na hawapo tena katika uhusiano wa kimapenzi.
Kwa mujibu wa mtandao wa Bazaar umeripoti kuwa Diddy ameanzisha mahusiano mapya na mwanadada Jocelyn Chew ikiwa wawili hao wanatajwa kuonekana mjini Miami mwezi uliopita na pia walihudhuria onesho la Drake siku kadhaa zilizopita.
Inaelezwa kuwa Diddy na Cassie walikutana rasmi mwaka 2000 hii ni baada ya Cassie kujiunga na record label ya Bad Boys na ilipofika 2012 wawili hao waliamua kuweka wazi mahusiano yao lakini August 2016 inadaiwa kuwa waliachana na baadae kurudiana.
“Maumivu yako yanachembechembe za virusi vya unafiki sorry”