Ni time yako kusikiliza single mpya ya Dudubaya, msanii mwingine wa longtime kwenye bongofleva ambae jina lake lipo kwenye list ya Wasanii wa bongofleva waliowahi kumiliki Top10 kwa hits kama ‘nakupenda tu’ na ‘mwanangu huna nidhamu’
Isikilize hapa single mpya ya Dudubaya anayomwambia Shetani ampishe.

Leave a comment
Leave a comment