on air with millardayo

MSECHU AOMBA MSAMAHA: Akalishwa vikao

on

Mwimbaji wa Bongofleva Peter Msechu amekaa kwenye Exclusive Interview na millardayo na kuomba radhi kwa kauli yake ambayo imefanya viitishwe vikao vya kumuonya.

Siku kadhaa zilizopita Peter Msechu alizungumzia juu ya muonekano wa mwili wake kuwa amejiachia sana na kunenepa kupita kiasi huku wengi wakimshauri kupunguza mwili kwa kufanya mazoezi jambo ambalo analipinga akisema pamoja na unene huo lakini anafumaniwa hivyo kusababisha kutoelewana na baadhi ya watu.

EXCLUSIVE: Leo Producer Mikka Mwamba kakubali kuhojiwa!!!

Soma na hizi

Tupia Comments