Kazi yangu kuhakikisha hupitwi mtu wangu ndio maana nimekurekodia pia sehemu ya yaliyozungumzwa kwenye bunge la katiba September 9 2014 ambapo kubwa lililozungumzwa na Wajumbe wengi ni ishu ya Uraia wa nchi mbili pamoja na Mahakama ya kadhi.
Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu na niko tayari kukutumia wakati wowote iwe usiku au mchana iwapo utakua umejiunga na mimi kwa kubonyeza hapa >>> twitter Insta FB