October 30 2016 maeneo ya Kimara Stop Over Dar es Salaam imetokea ajali ambayo imehusisha basi la abiria la Safari Njema (T990 AQF) ambalo limegongana na lori T534 BYJ ambapo magari yote yaliteketea kwa moto baada ya kugongana kusababisha kifo cha abiria mmoja na majeruhi 10.
millardayo.com na Ayo TV imempata mkaguzi msaidizi wa Zimamoto, Kabanda Makene kayaongea haya>> ‘Ajali imetokea majira ya saa nane ndio taarifa tulizozipata kwanza walikuja watu wa kuzima moto ambao walikuwa ni wakujitolea baadae watu hawa walifukuzwa na wananchi kwa mawe’
Itazame hii video hapa ujione ilipotokea ajali hiyo ya basi la abiria na lori 30, 2016
ULIYAKOSA HAYA MAJIBU YA ACT WAZALENDO KWA OLE SENDEKA BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA