Mix

PICHA 32: Kutoka kwenye Harusi ya Prof. Jay na Grace, mastaa, wanasiasa waalikwa

on

Rapper na Mbunge wa Mikumi Joseph Haule ‘Profesa Jay’ July 8, 2017 amefunga ndoa na mpenzi wake Grace DSM ambapo watu mbalimbali wakiwemo Wabunge walialikwa na baada ya ndoa walikaa kwa ajili ya picha za kumbukumbu.

Hapa nimekuwekea picha 32 kutoka kwenye ukumbi ilipofanyika Harusi hiyo!

Soma na hizi

Tupia Comments