Ukiongelea kuhusiana na muziki wa Bongo Fleva huwezi kuacha kuwataja wakongwe ambao walianza nao kwa kutoa ngoma kali wakiwemo Ay, Fid Q, Mandojo, Bushoke, dully skyes na wengine kibao.
kupitia instagram account ya mkali wa freestyle Wakazi ameonekana kuandika caption ambayo inaonyesha kuwa wakongwe hao katika muziki wa Bongo Fleva wanaonekana bado wanalilia kubaki kwenye chat na kutotaka kuwapa nafasi upcoming artists ili nao wapate kujulikana na kutangaza kazi zao
“Hamna kitu kinaniboa kama Wasanii wakongwe ambao kila kukicha wanaenda kulia kwenye media ili wapewe support ku revive career zao. Kama nyie mkilia, je Wasanii wachanga (who look up to you) na hawajawahi kutoka wafanyaje?! Why don’t you be grateful for a glorious past & cherish it.
“Kuna Wasanii wachanga wanalilia airplay, alafu na Veteran wa 15 years nae analilia airplay?! Wakati veteran ilitakiwa awe amemuweka new artist under his/her wing na kumsaidia aweze ku flourish. And maybe y’all can shine together”
“If you want to be in the “music business”, make music & sell music. Compete & stop complaining. You don’t always have to be Number one, but as long as you are there doin it, it’s fine. If you want to be in the “fame business”, just do something outrageous. Yaani njaa ya kuwika na kuwa maarufu umekua kama ugonjwa vile. “
“TV & Radio ni Media (Commercial). Twitter, Insta & Facebook ni Media (Social). Mkongwe mwenye hits mfukoni, fanbase mtaani, uzoefu kichwani hahitaji kulia lia asaidiwe. If commercial media don’t support, commercialize your social media and keep it moving be an example to the Youth”
“Salute kwa Wakongwe ambao ni leading example kwa new artists: FA, AY, Jide, Sugu, Soggy, Prof Jay, KBC, Chid Beenz, Dully Sykes, na wengineo.#RunAndTellEmThatISaidIt
Duh!! Hili ndio T-shirt shirt lenye thamani zaidi ya Tsh.Millioni 1