Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Mbwana Samatta leo Jumatano ya September 5 2018 imeongea na waandishi wa habari kuelekea mchezo wa Tanzania dhidi ya Uganda wa kuwania kufuzu kucheza AFCON 2019.
Samatta ameelezea kuwa licha ya kuwa na kocha mpya lakini wana uwezo wa kucheza na kupata matokeo dhidi ya Uganda katika mchezo utakaochezwa September 8 2018 nchini Uganda katika uwanja wa Namboole uliyopo katika jiji la Kampala.
Mtazamo wa Madee kwa nini Messi na Griezmann hawakustahili tuzo za FIFA