Kufuatia tetemeko la ardhi lililotokea Kagera September 10, 2016 na kusababisha madhara makubwa kwa wananchi, Shirika la Jambo Bukoba linaloendeleza vipaji vya watoto kupitia michezo mkoani Kagera chini ya ufadhili wa Clemence Mulokozi kutoka Ujerumani wamefanya bonanza la michezo kwa lengo la kuendelea kuwaondolea mawazo watoto ambao bado wana fikra za tetemeko. Full video nimekuwekea hapa chini tayari….
SERIKALI YAFAFANUA ALICHOSEMA LISSU KUHUSU BOMBADIER KUKAMATWA