Top Stories

Mbowe na wenzake kupandishwa leo tena kizimbani

on

Hatma ya viongozi 6 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) wakiongozwa na Mwenyekiti Freeman Mbowe kupata dhamana au kuendelea kusota rumande itajulikana leo March 29, 2018 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam.

Viongozi hao wanakabiliwa na mashtaka nane yakiwemo ya uchochezi na kuhamasisha chuki.

Mbali na Mbowe, wengine ni Dk.Vincent Mashinji, John Mnyika, Peter Msigwa, Salum Mwalimu, Esther Matiko. Washtakiwa hao walisomewa mashtaka yao na Wakili wa serikali Faraja Nchimbi mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri.

MAZISHI YA ALLEN: Baba Mzazi ameeleza alichoambiwa na Mwanae kabla ya kufariki

Soma na hizi

Tupia Comments