Ikiwa leo September 15,2018 ndio siku ya kuzaliwa kwa msanii Dogo Janja ambapo amesherekea akiwa na mashine ya kupumulia baada ya kuugua na kulazwa hospitalini.
Kwenye Exclusive interview na Ayo Tv Dogo Janja amefunguka kuhusiana na kinachomsumbua kwa sasa.
MADEE: Amefunguka Hali ya DOGO JANJA Hospitalini