AyoTV

VIDEO: Simba wametangaza kumfungia mchezaji wao leo April 20 mbele ya waandishi wa habari

on

April 20 2016 klabu ya Simba kupitia kwa mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa klabu hiyo Haji Manara wametangaza maamuzi ambayo hayakutarajiwa na wengi ya kumfungia beki wake wa pembeni Hassan Kessy kwa kosa la kuigharimu timu.

“Kessy juzi ameigharimu timu hatujui kwa makusudi au bahati mbaya, Kessy ameigharimu timu kwa kucheza rafu mbaya tena yenye nia mbaya kwa Edward Christopher kwa kumpandishia mguu kichwani kwa makusudi, licha ya kuoneshwa kadi nyekundu na refa na kukosa mechi mbili, Simba inamuongezea adhabu na kumfungia mechi 5” >>> Haji Manara

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

KAMA ULIIKOSA MECHI YA SIMBA VS TOTO AFRICANS  ILIYOMFANYA KESSY AFUNGIWE, FULL TIME 0-1.

Soma na hizi

Tupia Comments