AyoTV

HAPATOSHI DSM: Vyama vitano vimejitokeza Uchaguzi Magomeni

on

Leo December 20, 2018 Msimamizi Msaidizi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Kata ya Magomeni, wilaya ya Kinondoni, Husna Nondo amesema vyama vitano vimejitokeza kuwania tiketi ya kumpata diwani wa Kata hiyo.

Nondo amesema hadi sasa vyama vitatu vimeshachukua fomu ikiwemo TLP, CUF na CCM huku mwisho wa kurejesha fomu hizo ukiwa ni leo December 20, 2018.

“Tutakaa na wagombea kwa ajili ya kabla ya kuanza kufanya kampeni ili kuwaeleza juu ya kufata maadili,”amesema.

Kufanyika kwa Uchaguzi huo kuna kuja baada ya kufariki kwa Diwani wa Kata hiyo ya Magomeni, Julian Rushaigo Bujugo.

MEYA APINGA MTI UNAOWAKA MOTO BILA KUZIMA KUKATWA

Soma na hizi

Tupia Comments