Mchekeshaji kutokea Timamu Ebitoke amezungumza kwenye Exclusive interview na Ayo TV moja ya swali aliloulizwa ni kuhusu kutokuonekana kwa muigizaji mwenzie mama Ashura ambapo yamekuwepo maneno mengi kuhusu hilo ikiwemo kuwa mama Ashura kafukuzwa Timamu.
Bonyeza PLAY kutazama alichojibu EBITOKE kuhusu MAMA ASHURA
YOUNG D: “Sijaona hasara kufungiwa Bongo Bahati mbaya”