Msanii kutoka WCB Rayvanny amezunguma kwenye EXCLUSIVE na Ayo TV ambapo amelezea kuhusu ile video fupi iliyokuwa ikiwaonesha yeye na msanii mwenzie Harmonize wakimuimbia Diamond Platnumz wimbo wa ‘Unaibiwa’.
Rayvanny amesema kuwa ule ulikuwa ni utani tu na ulikuja baada ya wao kusikiliza wimbo wake wa ‘Unaibiwa’ wimbo ambao Diamond alipendekeza wausikilize ndipo wakajikuta wakiimba na kumtaia Diamond, japo ameongezea kwa kusema kuwa hawaja muhusisha mwanamke yeyote zaidi ya kutaniana wenyewe..
Bonyeza PLAY hapa chini kusikiliza FULL STORY…
VIDEO:UTANI MTOTO WA HAMISA: Diamond, Harmonise na Rayvanny kwenye gari