Inawezekana moja ya ndoto zako kubwa ni kujiendeleza na masomo ya elimu ya juu baada ya kuhitimu ama Kidato cha Nne au Sita na umekuwa ukitafuta sana Taasisi ya uhakika ambayo itafanya ndoto zako ktumia kwa kupata elimu bora.
Sasa good news ni kwamba ST JOHN’S UNIVERSITY OF TANZANIA wana kila sababu za kuwafanya Watanzania waendelee kupata huduma nzuri ya masomo baada ya Chuo hiko (SJUT) KAMPASI YA CHIEF MAZENGO DODOMA, kuwatangazia nafasi za masomo katika ngazi ya CERTIFICATE na DIPLOMA kwa mwaka wa masomo 2017/2018 utakaoanza mwezi wa 09 mwaka 2017.