Maafisa wa usalama nchini Uganda wamepiga marufuku vyombo vya habari kucheza wimbo wa msanii Lucky Otim maarufu kama Bosmic Otim na kusema kuwa wimbo huo wa ‘Mac Onywalo buru’ una ujumbe unaopotosha jamii kuhusiana na serikali.
Wimbo huo umeonekana kuishambulia serikali ya Uganda ikiwemo Mawaziri, Wabunge, Rais Yoweri Museven na kuiongelea vibaya serikali hiyo na maafisa wa usalama kudai kuwa haiko sahihi kuupa promo wimbo huo kupitia vyombo vya habari kutokana na kukashifu serikali.
Wimbo huo unadaiwa kuwalenga viongozi kama Naibu Spika Jacob Oulanyah, Waziri wa ardhi Betty Among pamoja na mume wake na wengine wengi.
LYRICS ZA WIMBO HUO
Soldiers that in the past shot guns to protect Okello Tito in the government (power)…
Oryem (Okello) now doesn’t know them, Oryem now doesn’t visit them
Soldiers that in the past sent back Obote in the government
Jimmy) Akena now doesn’t know them…
When Obote was in exile in Tanzania Akena did not even visit them
If Tito Okello could resurrect, he would see the behaviour of Oryem-Okello with President Museveni
Chorus
Fire gave birth to ashes
The children of our past great leaders have turned to fight their tribe
Fire gave birth to ashes
I say fire gave birth to ashes….
Mabibi na Mabwana hili hapa kundi jipya la Muziki Bongoflevani VMG