Siku ya Leo March 27, 2018 msanii mkongwe wa Bongofleva Juma Kasim au Juma Nature ame-post kwenye page yake ya Instagram kuhusu wanawake wanao pakwa rangi na kuoshwa miguu na vijana waliojiajiri kwa kazi hiyo.
Nature ambaye ameacha mjadala baada ya kuandika ujumbe uliobaki kama swali kuhusu wanawake za watu kupakwa rangi za miguuni na vijana hao, Nature ameandika hivi…..>>>“Suala la wake zetu kupakwa rangi kwa staili hii ni sawa au si sawa???” – Juma Nature
VIDEO: Anayedaiwa kuwa mapenzini na Wema Sepetu afunguka kwa mara ya kwanza
Martin Kadinda alivyokata Keki na Mastaa, Birthday Party yake