Msanii kutoka Bongoflevani Nay wa Mitego amechia Video ya wimbo wake mpya leo February 19, 2018 ambapo kupitia ukurasa wake wa istagram February 18 Nay wa Mitego aliweka caption iliyosomeka…>>>“Video Ya #MikonoJuu Inatoka Kesho J3 Subscribe Kwenye YouTube Channel Yangu #MrNay Uwe Wa Kwanza Kutizama Full Video Ya #MikonoJuu” – Nay wa Mitego
Baada ya Post hiyo ya Nay wa Mitego, msanii wa Hip Hop Godzilla aka-comment chini na kusema wimbo huo wa Nay ni mbaya…>>>”Wimbo mbaya Emanuel” – Godzilla
Gigy Money na Mpenzi Wake, wazungumzia ugomvi wao, “Nilimpiga”
Aslay aimba wimbo wa Ngarenalo LIVE, Dogo Janja amtunza Dollar