Idriss Slutan kupitia Instagram yake aliandika ujumbe ambao moja kwa moja uliwalenga wanaume ambao ni tegemezi kwa wanawake hawapendi kufanya kazi bali hupenda kulelewa na wanawake.
Idriss katika Instagram yake aliandika>>>“Nakazana na maisha vibaya sanaaa sio ili niwe tajiri kwenye malisti ya billionaires fobuz, ila ili nisije fikia hatua ya kubeba mapochi ya wamama wenye hela ili nile. Mnaoyaweza hayo maisha mna roho ya ziada mario-rohoz nawaheshimu sana kaka zangu” – Idriss Slutan.
Bonyeza PLAY hapa chini kupata taarifaa zaidi…
IDRIS KAFUNGUKA: Kwanini Wema hajatokea kwenye shughuli ya Idris?
KIATU CHA IDRIS! Idris Sultan kazindua kiatu chake
BEEF LINGINE? Miss Kiki adai Rosa Ree anaiga, hana heshima