Saa chache zilizopita millardayo.com ilipata taarifa kwamba hii imetokea Ubungo Msewe, Dar es Salaam na ilipojisogeza kwenye eneo la tukio dereva ambaye ni Dickson Senkoro akasema tukio hilo limetokea saa nne asubuhi March 19 2015 wakati wa kupishana na magari mengine kwenye hii barabara lakini ghafla ukuta ukamdondokea.
Hakuwa na abiria kwenye hii Tax na hakuna yeyote aliejeruhiwa tofauti na hasara ya gari kuharibika.