Kuna story ambayo imezungumziwa kuhusu TID na James Richard ambaye anadai kuwa alijeruhiwa na msanii huyo maeneo ya Kinondoni, kesi ikafika mpaka Polisi.
Soudy Brown alimtafuta TID akamkosa hewani, akaona amtafute Mwanasheria ili amwambia kisheria hiyo ishu ikoje.
Mwanasheria huyo amesema kuwa ishu ikifika Mahakamani huenda TID akawa na hatia ya kosa la kushambulia kwa kukusudia, kwa kuwa walikosana halafu akaondoka na kurudi mara ya pili kumshambulia kijana huyo.
Hukumu yake huenda ikawa kifungo cha miaka miwili au miaka mitatu, au kulipa faini.
Kusikiliza story yote bonyeza play hapa chini…
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook