Yemi Alade yupo zake Italy akiendelea na ziara yake ya kimuziki ambapo akiwa ndani ya nchi hiyo alifanya show ambayo fans walioshuhudia walionekana kuenjoy.
Hitmaker huyo wa single ya Jonny mbali ya kutoa burudani ya aina yake akiwa stejini alipata time pia ya kupiga selfie na mashabiki wake huku akiwataka wacheze pamoja.
Katika ziara yake Yemi Alade atatembelea nchi mbalimbali zikiwemo Ujerumani, Switzerland na Ufaransa.