Single ya Beyonce 7/11 imeingia tena kwenye headlines baada ya mcheza tenis maarufu duniani Serena Williams kuamua kutumia dakika zake kuiga video ya nyimbo hiyo.
Staa huyo akiwa katika uwanja wa tenis huko Florida aliamua kutumia nyimbo hiyo akiwa katika maandalizi ya jarida la Vogue huku akimudu kucheza kama ambayo Beyonce alicheza katika video yenyewe.
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter, Instagram na Facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza>>>twitter Insta Facebook