Ishu ya wanafunzi kuzuiwa kutumia simu au kwenda na simu shuleni hata kwa hapa TZ iliwahi kuw mjadala mkubwa sana.. walimu walikuwa wakizuia wanafunzi kutumia simu ili kuwafanya wawe makini zaidi na masomo.. wanafunzi nao walisema wanataka waruhusiwe simu kwa sababu mawasiliano kwao ni moja ya vitu muhimu sana.
Nimekumbuka hilo baada ya kukutana na hii story toka India, mzazi mmoja hakupendezwa na suala la mtoto wake kukatazwa kwenda na simu shuleni, akavamia ofisi ya walimu na kuanza kumshambulia Mkurugenzi wa shule hiyo.
Mama huyo Taranjit Kaur Hundal aliingia kwenye ofisi ya Mkurugenzi wa Shule hiyo, Jyoti Nagrani na kufunga mlango kwa ndani alafu akaanza kumshambulia.. Tukio lote limerekodiwa kwenye video.
Mama huyo ambae ni mke wa mwanasheria ana kesi ya kufanya shambulio.
Bonyeza play hapa chini kuangalia video ya tukio hilo…
https://www.youtube.com/watch?v=NIuX5zAXVD4
Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenyeTwitter,Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> TwitterInstaFB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribeYouTube kwa kubonyeza hapa>>>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.