Amplifaya ni show ya Radio ambayo huwa inasikika kupitia CloudsFM Jumatatu mpaka Ijumaa saa moja usiku mpaka saa tatu na inakua na habari kumi kubwa za siku ambapo za Jumanne May 5 2015 ndio hizi.
#AMPLIFAYA #May52015 #10 Huddah asema miongoni mwa kazi anazofanya ni kununua Mashamba na kuyauza baadae baada ya thamani kuongezeka.
— millardayo.com (@millardayo) May 5, 2015
#AMPLIFAYA #May52015 #9 Ali Kiba asema toka miaka ya nyuma amekoswakoswa na majambazi mara 3, kilichoibiwa juzi kwake kinafikia milioni 6.
— millardayo.com (@millardayo) May 5, 2015
#AMPLIFAYA #May52015 #8 #MgomoMabasi ‘usafiri wa elfu 7000 umekua elfu 25, Canter zimebeba raia kwa shilingi elfu 1 Ubungo – Mbezi’ – Konda
— millardayo.com (@millardayo) May 5, 2015
#AMPLIFAYA #May52015 #7 Freeman Mbowe >> ‘Aliefanya mazungumzo na Madereva ni DC wa Kinondoni, nilipofika nilikuta wameshaafikiana’
— millardayo.com (@millardayo) May 5, 2015
#AMPLIFAYA #May5 #6 Mahakama Burundi imemruhusu Rais Nkurunziza kuwania muhula wa tatu, Jaji mmoja katoroka kuepuka kulazimishwa kumpendelea
— millardayo.com (@millardayo) May 5, 2015
#AMPLIFAYA #May52015 #5 Utafiti mpya unaonyesha Afrika Mashariki, watu wa Kenya ndio wanaongoza kwa kuwa na furaha, wa pili UG, wa tatu TZ
— millardayo.com (@millardayo) May 5, 2015
#AMPLIFAYA #May52015 #4 Norway, Finland na Denmark, miongoni mwa nchi salama kwa Mama na mtoto…. >> Niger, DRC na Somalia nchi za hatari.
— millardayo.com (@millardayo) May 5, 2015
#AMPLIFAYA #May52015 #3 Hermy B siku zote ni mtu poa kwangu, kurudi B Hits sidhani kama kuna watu wengine pale B Hits watapenda. – V Money
— millardayo.com (@millardayo) May 5, 2015
#AMPLIFAYA #May52015 #2 Makonda ‘Madai ya Madereva kugoma ni ya msingi, tunakwenda kwa Waziri mkuu, tofauti na hapo nitajiunga na mgomo pia’
— millardayo.com (@millardayo) May 5, 2015
#AMPLIFAYA#May52015 #1 Bob Juniour ‘Wapambe walikua wananigombanisha na Diamond, nimewaacha ndio maana juzi nikakubali kwenda White Party’
— millardayo.com (@millardayo) May 5, 2015
Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.