U Heard ya leo May 2 2015 kuna story inayohusu tuhuma za director wa Bongo Movie, John Kallage kudhulumu pesa ambazo alilipwa na Irene Uwoya na Msami kwa ajili ya kuwatengenezea movie !!
Kwenye majibu ya Kallage iko sentensi kasema hivi; “ni wao kwa sababu hawajalipa pesa“.. kingine amesema kwamba Irene alimwambia akachukue hela kwa mtu mwingine ndiyo maana wakashindwana.
Lakini kwa upande wa Irene Uwoya amesema walienda kushoot South Africa, baada ya kumaliza Kallage alitaka aendelee kubaki kule ili amalizie kuedit kabisa, Irene akaingia gharama nyingine zaidi.. tangu hapo hawajaonana na kila akimtafuta hapatikani.
U Heard iko hapa kwenye hii sauti mtu wangu…
Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.