Tuzo za African Entertainment Awards (AEA) ni Tuzo zinazotolewa kila mwaka kwa nia ya kutambua watu wanaotoa mchango mkubwa katika uliwengu wa burudani. Tuzo hizi zinalenga hasa kuonyesha ukubwa na fursa zilizopo kwenye ulimwengu wa burudani Africa.
Tuzo hizi zinahusisha reception ya red carpet, live performace za wasanii, live performance za comedy na ofcoz kutolewa kwa Tuzo kwa wasanii wanaowania Tuzo hizi kwenye vipengele husika.
Tuzo za mwaka huu ziko njiani zikiwa na vipengele 27 na good news kwa Tanzania ni kwamba wasanii wetu wamo pia. Diamond Platnumz na Vanessa Mdee ni wasanii pekee kutoka Tanzania waliopata fursa ya kutuwakilisha kwenye Tuzo hizi.
Diamond Platnumz anawania tuzo ya Hottest Male Single of the Year pamoja na Best Male Artist of the Year huku Vanessa Mdee akiwania tuzo ya Best Female Artist of The Year. Tuzo zitafanyika kwenye ukumbi wa Mary Burch Theater , New Jersey.
Nimekusogezea orodha kamili ya wale wote wanaowania tuzo hizi mwaka huu hapa chini.
BEST COLLABORATION OF THE YEAR:
1. TIMAYA FT SEAN PAUL – SHAKE YOUR BUM BUM
2. STAR BOY FT LAX AND WIZZ KIDD- CARO
3. DYNASTIE LE TIGRE FT STANLEY ENOW PRENDS SOIN D’ELLE (MR ADRENALINE)
4. SARKODIE – ADONAI FT. CASTRO
5. DJ DARCIE FEAT DANIEL NASCIMENTO, PRETOSHOW AND MAYA ZUDA
HOTTEST FEMALE SINGLE OF THE YEAR:
1. TINASHE- 2 ON
2. YEMI ALADE – JOHNNY
3. ZAHARA- LLOLIWE
4. MAYA ZUDA- KWANKWARAM
SELMOR MTUKUDZI – NGUVA YANGU
HOTTEST MALE SINGLE OF THE YEAR:
1. DAVIDO- AYE
2. FALLY IPUPA- ORIGINAL
3. DIAMOND-NTAMPATA WAPI – Tanzania**
4. DILLON FRANCIS- GET LOW
5. R2BEESE- LOBI
BEST MALE ARTIST OF THE YEAR:
1. DIAMOND PLATIMUNZ – Tanzania**
2. FALLY IPUPA
3. EDDY KENZO
4. WIZ KID
6. SARKODIE
BEST MUSIC VIDEO OF THE YEAR:
1. YEMI ALADE- JOHNNY
2. TOOFAN- GWETA
3. EDDIE KENZO- SITYA LOSS
4. STONEBWOY – PULL UP (REMIX) FT. PATORANKING
5. JOVI – ET P8 KOI (DIRECTED BY NDUKONG)
BEST HIP HOP ARTIST AND SONG:
1. TEHN DIAMOND- HAPPY
2. A.K.A- SIM DOPE
3. REMINICE- SKILASHI
4. STANLEY ENOW – HEIN PÈRE (OFFICIAL VIDEO) BY SHAMAK ALLHARAMADJI
5. JOVI – B.A.S.T.A.R.D FT. RENISS
6. FRENCH MONTANA- JULIUS CAESAR
HOTTEST GROUP:
1. MAFIKIZOLO
2. P-SQUARE
3. SAUTI SOL
4. TOOFAN
BEST FEMALE ARTIST OF THE YEAR:
1. YEMI ALADE
2. VANESSA MDEE – Tanzania**
3. VICTORIA KIMANI
4. BUCIE
BEST GOSPEL GROUP:
1. JOYOUS CELEBRATION (PERFORMANCE BY MINISTER TAKESURE)
2. SONNIE BADU
3. BONNIE DEUSCHLE AND CELEBRATION CHOIR
4. KANVEE ADAMS
BEST MALE MODEL:
1. STANIEL FERREIRA
2. DAVID AGBODJI
3. DERICK TWUM
4. JADON ANDERSON
5. ADONIS BOSSO
BEST FEMALE MODEL
1. LIYA KEBEDI
2. ALEK WEK
3. ATAUI DENG
4. OLUCHI ONWEAGBA
5. AJUMA NASENYANA
BEST COMEDIAN
1. COMRADE FATSO
2. BASKET MOUTH
3. TREVOR NOAH
4. KANSIIME ANNE
5. MICHAEL BLACKSTON
BEST NEW AND UPCOMING ARTIST:
1. STONE BWOY (PULL UP (REMIX) FT. PATORANKING
2. OFISHAL XAVIER (CHECK YOUR BALANCE)
3. OS DETROUA – BELA
4. YOK7 – BROWN SKIN GIRL
BEST PRODUCER OF THE YEAR
1. BRIAN SOKO – DRUNKEN IN LOVE
2. KILL BEATZ – LOBI
3. DJ OSKIDO
BEST ACTOR IN A FILM OR SERIES
1. TONGAYI CHIRISA – CRUSO
2. NONSO ANOZIE – GAME OF THRONES
3. ADHIR KAYLAN – RULES OF ENGAGEMENT
4. BENJAMIN OCHIENG – X FILES
BEST ACTRESS IN A FILM OR SERIES
1. DANAI GURIRA- THE WALKING DEAD
2. KANDYSE MCCLURE- HEMLOCK GROVE
3. YVONNE ORJI-FIRST GENERATION
4. SOPHIE OKONEDO- SINBAD
BEST FEMALE ACTRESS IN A MOVIE:
1. BENU MABHENA – BLOOD DIAMOND
2. LUPITA NYONG’O- 12 YEARS A SLAVE
3. YVONNE NELSON- SINGLE MARRIED AND COMPLICATED
4. CHALIEZE THERON-A MILLION WAYS TO DIE IN THE WEST
BEST MALE ACTOR IN A MOVIE:
1. DAVID OYELOWO – SELMA
2. DJIMON HOUNSOU – BLOOD DIAMOND
3. EDI GATHEGI- X-MEN FIRST CLASS
4. CHIWETELU EJIFOR-HALF OF THE YELLOW SUN
5. DAYO OKNIYI-ENDLESS LOVE
BEST FILM WITH STRONG AFRICAN PRESENCE
1. BLOOD DIAMOND
2. SELMA
3. HALF OF THE YELLOW SUN
4. 12 YEARS A SLAVE
COMMUNITY AWARD
1. IYA BEKONDO- THE IYA FOUNDATION
2. CLAUDINE MUKAMABANO- KUKI NDIHO/ WHY DO I EXIST? RWANDA ORPHANS SUPPORT PROJECT
3. SYLVIE BELLO- CAMEROON AMERICAN COUNCIL
4. KATIE MEYLER- MORE THAN ME
5. LIYA KEBEDE FOUNDATION
6. NNAMDI ASOMUGHA- ASOMUGHA FOUNATION
ENTREPRENEUR OF THE YEAR
1. FARAI GUNDAN- FARAI MEDEIA GROUP, ENTREPRENEUR MEDIA GURU
2. CHRISTIAN NGAN-MADLIN CZALIS
3. OLAMIDE OREKUNRIN-FLYING DOCTORS NIGERIA
5. RUPERT BRYANT- WEB AFRICA
MALE SPORTING PERSONALITIES
S 1. LUC RICHARD MBAH A MOUTE- NBA
2. YAYA TOURE-SOCCER
3. SAMUEL ETO-SOCCER
4. NNAMDI ASOMUGHA, NFL
5. MEHDI BENATIA-SOCCER
6. SERGE IBAKA-NBA
FEMALE SPORTING PERSONALITIES
1. REGINA GEORGE-TRACK AND FIELD
2. TALISA LANOE-SWIMMER
3. MESELECH MELKAMU-TRACK AND FIELD
4. MARSHA COX (MARSHA MARESCHIA)
5. NICOLE BANECKI-SOCCER
6. NICHOLE DENBY-TRACK AND FIELD
HUMANITARIAN AWARD
HUMANITARIAN AWARD AKON
MALE FASHION DESIGNER
1. ARMANDO CABRAL-OWN SHOE BRAND
2. STANLEY IGWILO- XTAN COUTOURE
3. MATTHEW RUGAMBA-HOUSE OF TAYO
4. LAURENCE CHAUVIN BUTHAUD- LAURENCEAIRLINE
FEMALE FASHION DESIGNER:
1. CATHERINE HENRY-HENRIOCI
2. KIBONEN NFI- KIBONEN NY
3. AUDREY NGO MBOG-UZURI COUTURE
4. FARAI SIMOYI – DESIGNER OF THE NIKKI MINAJI FASHION COLLECTION
BEST AFRICAN RESTAURANT
1. MASSAWA, ETHIOPIA & ERITREA (NYC)
2. LE SOUK, MOROCCO (NYC)
3. ABUJA, WEST AFRICAN (NJ)
4. B&B AFRICAN RESTAURANT-WEST AFRICA (NJ)
5. CASA LA FEMME-EGYPTIAN (NYC)
Mwisho wa kuwapigia kura VeeMoney pamoja na Diamond Platnumz ni tarehe 30 mwezi Agosti, na kuwapigia kura wawili hawa tembelea link hii hapa: https://www.surveymonkey.com/s/VOTEAEA2015 na kwa taarifa zaidi unaweza kutembelea website yao: www.africanentertainmentaward.com., au kuwafollow Instagram @africanentertainmentawards.
Unahitaji chochote nachokipata kikufikie? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.