Ni leoleo Donald kaiachia audio ya huu wimbo wa ‘Wangu’ ambao kamshirikisha Diamond Platnumz… hajakawiza mambo, kaisogeza na video kabisa ili tuenjoy vizuri.
Tumeziona collabo nyingi za Diamond na mastaa wa West Africa.. unatamani kujua hii ya South Africa kaifanyaje? Play hapa mtu wangu.
Nitakutumia stori zote ukibonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.