Hii post ni maalum kwa kukutanisha na video mpya ya MC kutoka Tanzania, mwanahiphop anaesimamia itikadi na misingi yake…. ni Nash MC kwenye ‘hasi 15‘ ambayo imesambazwa kwenye YouTUBE kuanzia July 26 2015.
Nitakutumia stori zote ukibonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.