Mitandao ya kijamii kama Facebook, Twitter na Instagram kwa siku hizi imerahisisha sana mambo, badala ya mtu kutafuta kuongea au kuhojiwa kwenye Radio, TV au Gazeti ndio asikike, anamaliza kiu yake yote kupitia account yake aliyonayo kama walivyofanya baadhi ya watu maarufu wa Tanzania hapa chini.
PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter
Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos