Headlines nyingine zilianza kuandikwa Tanzania kwenye Siasa 2015, ambapo July 28 2015 Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli alikaribishwa CHADEMA na kupewa Kadi za Uanachama yeye pamoja na mkewe, Mama Regina Lowassa.
Stori baada ya stori zikaendelea kutawala kuanzia hapo, akafika Makao Makuu ya Chama hicho Kinondoni Dar es Salaam kuchukua Fomu na kurudisha pia… August 04 2015 Kikao cha Chama hicho kimefanyika Ukumbi wa Mlimani City Dar, Edward Ngoyai Lowassa ametambulishwa kuwa Mgombea Urais wa umoja wa Vyama vya UKAWA na Juma Duni Haji ndio Mgombea Mwenza.
Hapa ni pichaz ilivyokuwa kuanzia nje mpaka ndani ya Ukumbi.
PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos