Baada ya malalamishi mazito kutoka kwa kijana mmoja kuwa ametelekezwa na bosi wake ambaye ni Afande Sele, mwenyewe amefunguka kwa Soudy Brown leo.
Kijana huyo anasema Afande Sele alimtuma mtu kuja kuchukua gari na kuniacha hospitali na mgonjwa wangu kitendo ambacho si cha kiungwana.
Afande Sele mwenyewe amesema si kweli..yeye kwa sasaivi yupo kwenye mambo ya kisiasa, anasema ni watu wametumiwa kumwaribia, anasema jamaa alipata ajali katika eneo ambalo si la kupata ajali ili kumwaribia baada ya kuchukua gari na kufanya mizunguko yake huku likiwa na bendera za chama.
Wasikilize hapa…
PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos