Ilianza kutoka Ripoti katikati ya Mwezi May 2015 kwamba account ya #Twitter ya Rais Barack Obama ilianza kuendeshwa na yeye mwenyewe tofauti na ilivyokuwa mara ya kwanza ambapo kuna wahusika kabisa ndani ya Ikulu ya White House Marekani walikuwa na jukumu hilo !!
Baada ya hapo tukaona post zake pamoja na idadi kubwa ya followers ambao aliwapata muda mfupi tu baada ya taarifa hiyo kuwafikia watu, leo nina mengine mapya kutoka hapohapo kwenye account yake ya Twitter.
Ameshare post ambayo inaonesha playlist ya nyimbo ambazo Mr. President huyo wa Marekani anazisikiliza wakati wote kwa kipindi hiki akiwa kwenye matembezi au mapumziko baada ya kazi.
Due to popular request, here are my vacation playlists: http://t.co/uer5sIl4Vkhttp://t.co/zHEekHvQBr What’s your favorite summer song?
— President Obama (@POTUS) August 14, 2015
Basi hii hapa ndio playlist yenyewe;-
Hizi ni nyimbo ambazo anasikiliza sana wakati wa mchana.
Ain’t Too Proud to Beg – The Temptations
Live It Up – Isley Brothers
Memories Live – Talib Kweli & Hi Tek
Tombstone Blues – Bob Dylan
So Much Trouble in the World – Bob Marley
Paradise – Coldplay
Tengo Un Trato (Remix) – Mala Rodriguez
Wang Dang Doodle – Howlin Wolf
Another Star – Stevie Wonder
Hot Fun in the Summertime – Sly & the Family Stone
Boozophilia – Low Cut Connie
Wherever Is Your Heart – Brandi Carlile
Good Day – Nappy Roots
Green Light – John Legend
Gimme Shelter – Rolling Stones
Rock Steady – Aretha Franklin
Down Down the Deep River – Okkervil River
Pusher Love Girl – Justin Timberlake
Shake It Out – Florence & The Machine
La Salsa La Traigo Yo – Sonora Carruseles
Na hii ndio Playlist ya Mr. Obama wakati wa usiku.
My Favorite Things – John Coltrane
Superpower – Beyoncé Feat. Frank Ocean
Moondance – Van Morrison
Is Your Love Big Enough? – Lianne La Havas
How Can You Mend a Broken Heart – Al Green
Red & White & Blue & Gold – Aoife O’Donovan
Nothing Even Matters – Lauryn Hill
The Best Is Yet to Come – Frank Sinatra
You Don’t Know Me – Ray Charles
I Found My Everything – Mary J Blige
Help Me – Joni Mitchell
I’ve Got Dreams to Remember – Otis Redding
Suzanne – Leonard Cohen
Feeling Good – Nina Simone
Stubborn Love – The Lumineers
Until – Cassandra Wilson
UMI Says – Mos Def
The Very Thought of You – Billie Holiday
Flamenco Sketches – Miles Davis
Woo – Erykah Badu
PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos