Safari ya Mgombea Urais wa CHADEMA na UKAWA, Edward Lowassa kutafuta Wadhamini Mikoani ilianza August 14 ambapo alishuka Mbeya katika Viwanja vya Shule ya Ruanda Nzovwe, alafu August 15 2015 safari ikaendelea Arusha eneo la Tindigani… August 16 anatua Mwanza.
Hizi ni pichaz nyingine naziwekakaribu na wewe mtu wa nguvu uone hali ya Arusha baada ya Mgombea Urais huyo kutua.
PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos