May 29, 2015 Muhammadu Buhari aliapishwa kuwa Rais mpya wa Serikali ya Nigeria.
Baada ya kuingia madarakani moja ya vipaumbele vya Buhari aliahidi kupambana na rushwa na ubadhirifu wa mali za umma pamoja na kupambana na kundi la kigaidi la Boko Haram.
Headlines za leo kuhusu Rais huyo kupitia kwa msemaji wake, Femi Adesina zimethibitisha kuwa mbali ya nafasi yake hiyo ya kuwaongoza Wanigeria atashika nafasi ya kuwa Waziri wa mafuta akisaidiwa na Naibu wake ili kupambana na wanaotumia vibaya nafasi kama hizo.
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenyeTwitter,FB,Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE