Huu ni muunganiko wa wasanii wawili tokea hapa bongo Baghdad na Roma Mkatoliki ambapo leo Dec 4, 2015 wameachia rasmi ngoma yao mpya inayokwenda kwa jina la “Una akili wewe”.
Tayari nimekusogezea ngoma yenyewe na kazi yako ni kubonyeza Play hapa chini ili kuisikiliza>>
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.