Usiku wa December 21 klabu ya Arsenal inayofundishwa na kocha wa kifaransa Arsene Wenger iliingia katika headlines za ushindi baada ya kuibuka na ushindi wa goli 2-1 dhidi ya Manchester City katika dimba la Emirates. Magoli ya Arsenal yalifungwa na Theo Walcott na Oliver Giroud, ila stori kubwa haikuwa ushindi wa Arsenal.
Kwani katika mitandao ya kijamii alitawala sana kiungo wa kimataifa wa Ujerumani mwenye asili ya Uturuki Mesut Ozil, ndio jamaa aliyotoa pasi za magoli yote mawili ya Arsenal. Ozil kwa sasa ndio anakuwa mchezaji wa kwanza kutoa pasi nyingi katika michezo michache, kwani ametoa jumla ya pasi 15 katika michezo 16 ya Ligi Kuu msimu huu.
Kwa mujibu wa rekodi kuna jumla ya wachezaji watano ndio wanashikilia rekodi ya muda wote ya utoaji wa pasi nyingi za magoli katika Ligi Kuu Uingereza, miongoni mwa hao ni mkongwe wa Arsenal Thierry Henry. Ozil ameweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza kutoa pasi nyingi za magoli kwa muda mfupi.
Mesut Ozil is the fastest player in Premier League’s history to reach 15 assists in a season (16 apps). pic.twitter.com/5V6mZ086kQ
— Uber Football Facts (@UberFootbalI) December 21, 2015
15 – Mesut Ozil now has 15 Premier League assists this season, as many as David Silva has ever managed in a single season (2011-12). Master.
— OptaJoe (@OptaJoe) December 21, 2015
5 – Mesut Özil now has 15 goal assists – only five players have ever managed more in a single Premier League season. Nicking.
— OptaJoe (@OptaJoe) December 21, 2015
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.