Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo.
Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa nimezikusanya zote zilizoguswa na #Tweets za #Magazeti January 3, 2016, unazisoma zote kwa pamoja.
Bajeti ya Uchaguzi Mkuu Z’bar yatengwa, Serikali yasubiri Tume ya Uchaguzi ZEC kutaja tarehe #MagazetiJAN3 #MAJIRA
— millard ayo (@millardayo) January 3, 2016
Bajeti ya Uchaguzi Mkuu Z’bar yatengwa, Serikali yasubiri Tume ya Uchaguzi ZEC kutaja tarehe #MagazetiJAN3 #MAJIRA
— millard ayo (@millardayo) January 3, 2016
Wafanyabiashara katika soko la Maswa Mkoa wa Simiyu wapinga agizo la Ofisa Ardhi kutaka vibanda vyao vibomolewe #MagazetiJAN3 #MAJIRA
— millard ayo (@millardayo) January 3, 2016
Jeshi la Polisi Simiyu linawashikilia watu wawili wanaotuhumiwa kwa wizi wa gari Toyota Harrier Dar Desemba 2015 #MagazetiJAN3 #MAJIRA
— millard ayo (@millardayo) January 3, 2016
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora limemfikisha Mahakamani mkulima mmoja kwa tuhuma za kuvunja jengo la Mahakama na kuiba #MagazetiJAN3 #MAJIRA

Mawaziri watatu wa Rais MAGUFULI wafika machinjio ya Vingunguti Dar ili kutatua kero mbalimbali za watumiaji eneo hilo #MagazetiJAN3 #MAJIRA
— millard ayo (@millardayo) January 3, 2016
Waziri SIMBACHAWENE awasimamisha kazi maofisa biashara Dodoma kwa tuhuma za urasimu wa utoaji wa leseni za biashara #MagazetiJAN3 #MAJIRA
— millard ayo (@millardayo) January 3, 2016
Kambi ya Jeshi yavamiwa na washambuliaji India, wavamizi wanne wauawa na Jeshi hilo #MagazetiJAN3 #MAJIRA >> https://t.co/Cwh7IH9HG5
— millard ayo (@millardayo) January 3, 2016
Mchungaji LWAKATARE asema hawezi kuvunjiwa nyumba yake kwa sababu Mahakama iliamua kuwa ana haki #MWANANCHI #JAN3 >> https://t.co/Cwh7IH9HG5
— millard ayo (@millardayo) January 3, 2016
Mnigeria ashikwa na ‘mzigo wa maana’ Uwanja wa Ndege JNIA, ni dawa za kulevya thamani haijajulikana #MWANANCHI >> https://t.co/Cwh7IH9HG5
— millard ayo (@millardayo) January 3, 2016
Baada ya kukamilika kwa Baraza la Mawaziri, panga la Rais MAGUFULI sasa lawanyemelea Mabalozi #Magazeti #MWANANCHI> https://t.co/Cwh7IH9HG5
— millard ayo (@millardayo) January 3, 2016
Sakata la Makontena lahamia Mahakamani, Mawakala wa forodha TAFFA wafungua kesi kupinga kudaiwa tozo ya bandarini #MagazetiJAN3 #MWANANCHI
— millard ayo (@millardayo) January 3, 2016
Makatibu wakuu wafundwa namna ya kusimamia fedha za Serikali,hati zenye kasoro hazitarajiwi #MagazetiJAN3 #MWANANCHI>https://t.co/Cwh7IH9HG5
— millard ayo (@millardayo) January 3, 2016
Zaidi ya abiria 1,090 wa treni wakwama Dodoma, reli yasombwa na maji kutokana na mafuriko #MagazetiJAN3 #MWANANCHI>https://t.co/Cwh7IH9HG5

Mamlaka ya SUMATRA yaitisha mkutano kujadili viwango vya nauli za mabasi ya mwendokasi Dar #MagazetiJAN3 #MWANANCHI>https://t.co/Cwh7IH9HG5
— millard ayo (@millardayo) January 3, 2016
Ufisadi wagundulika shule za Jumuiya ya wazazi CCM, darasa moja lajengwa kwa mil.200 Mbeya #MagazetiJAN3 #MWANANCHI>https://t.co/Cwh7IH9HG5
— millard ayo (@millardayo) January 3, 2016
Wakazi walioahidiwa nyumba na JK walia kutekelezwa, ni baada ya mafuriko kutokea Kahama #MagazetiJAN3 #MWANANCHI>https://t.co/Cwh7IH9HG5
— millard ayo (@millardayo) January 3, 2016
Mchungaji Dk.LWAKATARE amepinga nyumba yake kubomolewa baada ya wizara ya Maliasili kuweka X wakidai ipo katika hifadhi ya bahari #MTANZANIA
— millard ayo (@millardayo) January 3, 2016
Kikongwe wa miaka 97 aibuka mshindi shindano la wazee zaidi ya miaka 80 kusoma bila miwani #MagazetiJAN3 #MWANANCHI>https://t.co/Cwh7IH9HG5
— millard ayo (@millardayo) January 3, 2016
Kikongwe wa miaka 97 aibuka mshindi shindano la wazee zaidi ya miaka 80 kusoma bila miwani #MagazetiJAN3#MWANANCHI>https://t.co/Cwh7IH9HG5
— millard ayo (@millardayo) January 3, 2016
Wilaya ya Bunda imefika nafasi ya kati kutoka ya mwisho ktk umaskini kati ya Wilaya zote hapa nchini #JamboLEO #JAN3 https://t.co/Cwh7IH9HG5
— millard ayo (@millardayo) January 3, 2016
Siri ya Ugonjwa wa Askofu PENGO imefichuka baada ya kuwa amekuwa akifanya kazi nyingi bila kupumzika #JamboLEO #JAN3 https://t.co/Cwh7IH9HG5
— millard ayo (@millardayo) January 3, 2016
Abiria wanaosafiri kuelekea Mikoa ya Mwanza, Kigoma wanaotumia treni wameshindwa kusafiri kwa siku 2 baada ya reli kuharibika #JamboLEO JAN3
— millard ayo (@millardayo) January 3, 2016
Utekelezaji wa agizo la Rais mstaafu JK la kujenga maabara shuleni umeanza kuzaa matunda Wilaya ya Babati baada ya ufaulu kupanda #NIPASHE
— millard ayo (@millardayo) January 3, 2016
Licha ya bei ya mafuta kushuka soko la dunia, WaTZ hawajapata nafuu ya maisha kutokana na shilingi kupungua thamani dhidi ya dola #NIPASHE
— millard ayo (@millardayo) January 3, 2016
Mwanasiasa Mkongwe KINGUNGE amesema atampima na kuzungumzia utendaji kazi wa Rais MAGUFULI atakapotimiza siku 100 Ikulu #NIPASHE #JAN3
— millard ayo (@millardayo) January 3, 2016
Abiria wanaofanya safari zake kutoka Banana kwenda Kivule jana walikwama kwa zaidi ya saa tatu kutokana na kifusi kujaa Barabarani #NIPASHE
— millard ayo (@millardayo) January 3, 2016
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line yatiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE